Monday, June 27, 2011

JE, UNAMJUA MWIZI YEYOTE UMLETE HAPA?

Bring them all here public thieves!!

Tuletee mwizi wa mali za umma, mwizi wa sadaka za waumini, mwizi wa vyeti vya elimu na nyaraka, mwizi wa wake za watu na mtu yeyote unayemfahamu pasi na shaka kuwa ni mwivi.

Mlete hapa tumwanike!!